Posts

Showing posts from March, 2022

DETOX YA SIKU 7. HATUA YA KWANZA KUPUNGUZA UNENE

Image
  March 9 HATUA YA KWANZA KUPUNGUZA UNENE. Uzito Unaotakiwa kua nao Kulingana na Urefu Pamoja na Jinsia UREFU (CM) UREFU (FT & INCH) UZITO (KG)       MWANAUME MWANAMKE 147 4' 10" - 45-59 150 4' 11" - 45-60 152 5' 0" - 46-62 155 5' 1" 55-66 47-63 157 5' 2" 56-67 49-65 160 5' 3" 57-68 50-67 162 5' 4" 58-70 51-69 165 5' 5" 59-72 53-70 167 5' 6" 60-74 54-72 170 5' 7" 61-75 55-74 172 5' 8" 62-77 57-75 175 5' 9" 63-79 58-77 177 5' 10" 64-81 60-78 180 5' 11" 65-83 61-80 182 6' 0" 66-85 - 185 6' 1" 68-87 - 187 6' 2" 69-89 - 190 6' 3" 71-91 - MAMBO YA KUFANYA KABLA YA KUANZA DETOX           Jua kwanza uzito wako           Weka malengo ya uzito unaotaka kuufikia (hii itakusaidia kutokukata tamaa)           Ondoa vitu vyote vitakavyokushawishi kuharibu Diet yako na ujiepushe katika mazingira hayo.           Fanya maandalizi ya vitu u